KISWAHILI FORM 1 SYLLABUS

  1. Mawasiliano
    1. Lugha kama Chombo cha Mawasiliano
      1. Elezea maana ya mawasiliano
      2. Fafanua dhima za lugha katika mawasiliano
      3. Fafanua matumizi na umuhimu wa lugha
    2. Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili
      1. Elezea maana ya matamshi
      2. Bainisha sauti za lugha ya Kiswahili
      3. Elezea kuhusu lafudhi ya Kiswahili
  2. Aina Za Maneno
    1. Ubainishaji wa aina Saba za Maneno
      1. Bainisha aina saba za maneno ya Kiswahili
    2. Ufafanuzi wa aina za Maneno
      1. Elezea maana ya kila aina ya neno
    3. Matumizi ya aina za Maneno katika Tungo
      1. Elezea matumizi ya aina za maneno katika tungo
    4. Matumizi ya Kamusi
      1. Elezea maana ya Kamusi
      2. Elezea jinsi ya kutumia kamusi
      3. Fafanua taarifa ziingizwazo katika kamusi
  3. Fasihi Kwa Ujumla
    1. Dhima ya Fasihi
      1. Elezea dhana ya fasihi
      2. Fafanua dhima za fasihi katika jamii
    2. Aina za Fasihi
      1. Fafanua dhana ya fasihi simulizi
      2. Elezea sifa na dhima za fasihi simulizi
      3. Fafanua dhana ya fasihi andishi
      4. Elezea sifa na dhima za fasihi andishi
      5. Onesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi
  4. Fasihi Simulizi
    1. Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi Simulizi
      1. Bainisha tanzu za fasihi simulizi
    2. Ufafanuzi wa Vipera vya Tanzu za Fasihi Simulizi
      1. Fafanua vipera vya hadithi
      2. Fafanua vipera vya ushairi
      3. Fafanua vipera vya semi
      4. Fafanua vipera vya maigizo
    3. Uhakiki wa kazi za Fasihi Simulizi
      1. Elezea umuhimu wa uhakiki wa kazi za fasihi simulizi
      2. Elezea vigezo vya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi
      3. Elezea uhakiki wa hadithi
      4. Hakiki matumizi ya semi katika hadithi
  5. Usimulizi
    1. Usimulizi wa Hadithi
      1. Elezea njia za usimulizi wa hadithi
    2. Usimulizi wa Habari
      1. Fafanua taratibu za usimulizi wa matukio
  6. Uandishi Wa Insha
    1. Insha za Wasifu
      1. Elezea hatua za uandishi wa insha
      2. Fafanua muundo wa insha
      3. Tofautisha insha za kisanaa na zisizo za kisanaa
  7. Uandishi Wa Barua
    1. Barua za Kirafiki
      1. Elezea muundo wa barua za kirafiki
  8. Ufahamu
    1. Kusikiliza
      1. Elezea mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza
      2. Jibu maswali kutokana na habari uliyosikiliza
    2. Kusoma kwa Sauti
      1. Elezea mambo ya Kuzingatia katika ufahamu wa kusoma kwa sauti
      2. Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma
    3. Kusoma Kimya
      1. Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma
    4. Kusoma kwa Burudani
      1. Fafanua mambo ya kuzingatiwa katika ufahamu wa kusoma kwa burudani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Back to top button
Close

Adblock Detected

We've noticed that you're using an adblocker. Our website relies on ads to provide free content. Please consider disabling your adblocker support us. Thank you for your support.