KISWAHILI FORM 3 SYLLABUS

  1. Ngeli Za Nomino
    1. Kuzielewa ya Ngeli
      1. Fafanua upatanishi wa kisarufi katika sentensi
      2. Andika habari zenye upatanishi wa kisarufi
  2. Mjengo Wa Tungo
    1. Maana ya Tungo
      1. Maana ya Tungo
      2. Bainisha aina mbalimbali za tungo
      3. Maana ya Kirai na Uainishaji wake
      4. Maana ya Kishazi na Uainishaji wake
    2. Ufafanuzi wa Aina za Tungo
      1. Maana ya sentensi
      2. Muundo wa sentensi kimapokeo/kikazi/kidhima
      3. Uainishaji wa sentensi
      4. Kubainisha uchanganuzi wa sentensi
  3. Maendeleo Ya Kiswahili
    1. Asili ya Kiswahili
      1. Onesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo unaothibitisha ubantu wa Kiswahili
      2. Fafanua jinsi miundo ya Kiswahili inavyofanana na miundo ya lugha nyingine za Kibantu
    2. Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
      1. Elezea ukuaji wa Kiswahili kimsamiati nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
      2. Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
    3. Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Wajerumani
      1. Fafanua ukuaji wa Kiswahili nchini katika enzi za Wajerumani
      2. Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi za Wajerumani
  4. Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
    1. Maana ya Uhakiki
      1. Fafanua dhana ya uhakiki
      2. Elezea misingi ya uhakiki
    2. Uhakiki wa Fani katika Kazi za Fasihi Andishi
      1. Hakiki fani katika riwaya ya Takadini
      2. Hakiki fani katika Riwaya ya Joka la Mdimu
      3. Hakiki fani katika Riwaya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
    3. Uhakiki wa Fani katika Tamthiliya
      1. Hakiki fani katika tamthiliya ya Kilio Chetu
      2. Hakiki fani katika tamthiliya ya Orodha
      3. Hakaiki fani katika tamthiliya ya Watoto wa Mama N’tiliye
    4. Uhakiki wa fani katika Ushairi
      1. Hakiki fani katika Ushairi wa Wasakatonge
      2. Hakiki fani katika Ushairi wa Mashairi ya Chekacheka
      3. Hakiki Fani katika Ushairi wa Malenga Wapya
    5. Uhakiki wa Maudhui katika Kazi za Fasihi Andishi
      1. Hakiki Maudhui katika riwaya ya Takadini
      2. Hakiki maudhui katika Riwaya ya Joka la Mdimu
      3. Hakiki maudhui katika Riwaya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
    6. Uhakiki wa Maudhui katika Tamthiliya
      1. Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Kilio Chetu
      2. Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Orodha
      3. Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Watoto wa Mama N’tiliye
    7. Uhakiki wa Maudhui katika Ushairi
      1. Hakiki maudhui katika Ushairi wa Wasakatonge
      2. Hakiki Maudhui katika Ushairi wa Malenga Wapya
      3. Hakiki maudhui katika Diwani ya Chekacheka
  5. Utungaji Wa Kazi Za Fasihi Andishi
    1. Utungaji wa Hadithi
      1. Pambanua mikondo ya uandishi wa hadithi
    2. Utungaji Tamthiliya
      1. Elezea dhima ya tamthiliya
      2. Tunga tamthiliya
  6. Uandishi Wa Insha Na Matangazo
    1. Uandishi wa Insha za Kisanaa
      1. Elezea misingi ya kuandika insha
      2. Andika insha za kisanaa
    2. Uandishi wa Matangazo
      1. Elezea vipengele vya kuzingatiwa katika uandishi wa matangazo
  7. Kusoma Kwa Ufahamu
    1. Kusoma Kimya
      1. Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyosoma
      2. Fupisha habari uliyoisoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Back to top button
Close

Adblock Detected

We've noticed that you're using an adblocker. Our website relies on ads to provide free content. Please consider disabling your adblocker support us. Thank you for your support.